Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni maombi ya kawaida tu, tena yale yanayoogopwa na yule bwana...Huko kwenu mnatumia tunguli au kitabu?
Usisahau kuomba mkuu una nyota ya jaha.Ni maombi ya kawaida tu, tena yale yanayoogopwa na yule bwana...
Huko ndio kurahisisha kazi sasa..Wenye akili watachambua na kupata majibu sahihi
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hapana mpwa sio dalili za uzee bali za utu uzima!!!.....
Si unajua uzee mwisho chalinze
Naaam..... nlikuwa sijakuskia... nipo busy nakamua alizeti huku....
Uje unizime mimi mwenyewe kama yule bonge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukija dom nitakuzimia simu
Nikiendelea kusoma ntadindisha bureSaaa ngapi
Najikaza kisabuni hapaHahahahha magoli hayahamishiki kamweee jipe moyoooo
Ungekatupia hapa kwa faida zaidi mkuuKuna kale ka wimbo ka "manfongo" kuhusu mashemeji, nakapendaga sana mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahaha dada unakiuka mashart ujue hapa namuwaza Mama Sabrina atakavyopinga hili suala na G wakeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]