Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Njoo chukua
Njoo kwanza uzimue upate nguvu
20180918_073329.jpg
 
Tuko pomoja bro,ila nahuzunika sijatajwa mpaka muda huu !

Naendelea kufungua kurasa nilikuwa ukurasa wa 82 mpaka sasa bila bila,ila nimeanza kurudi nyuma kuangalia tena kama niliangalia vizuri ukurasa au la !?
Sikujua kama wewe ni ME.
(Jina lako)
 
Back
Top Bottom