Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

First, kama hujui maana ya Shemale ask Mr. Google.

Second, i have a wife no time for flirting on social nets.
Hapa ni chitchat mbona povu kama loteee [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....

Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....

Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nimwona mwenye Mali kapita hapa hajasema lolote
 
Back
Top Bottom