Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa. Damu zetu zinaelewana. Napenda tu ulivyo muwazi yaniLol.... sijui kwann nikipata like yako nafurahi.
Naam, sijawahi kujihofia kwa kitu nionacho nipo right.... tutaonana kwenye party.Hahahahaa. Damu zetu zinaelewana. Napenda tu ulivyo muwazi yani
Karibu sana mama..Naam, sijawahi kujihofia kwa kitu nionacho nipo right.... tutaonana kwenye party.
nipooo naona sema nimekukumbuka sanaaaUpooo binaaaa
sasa hivi napata shida kuwa humu ndaniii achaa tuuUpooo binaaaa
Mwanda mwanda !Nimekupata vizuri Brodha.... peace and love.
Mambo vipi demiss....!Jaman wapi muhenga Malcom Lumumba
Mimi nalima zangu miwa kwetu Kagera,Acha kunidanganya babu wenye hela kama wewe hampendi sifa atiii
Nimwona mwenye Mali kapita hapa hajasema loloteSiamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....
Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....
Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Tunguli zake ndio zinazofanya kazi mkuuNimwona mwenye Mali kapita hapa hajasema lolote
Zikija vizuri uniite
Panga Mafaili(PM) vizuri anakuja muda si mrefuMwambie aje darasani PM...