Member waliopotea JF

Member waliopotea JF

Wengi hasa hao wanawake wamekuja na I'd mpya wapo humu mnapishana humo majukwaani bila wewe kujua,kwa namna watu wanavyochangamana humu hasa hiyo jinsia lazima wanajuana in really life so kama kingekuwa kimewakuta kitu kibaya wenzao wangeleta taarifa hapa.
 
Huyo Genta nadhani ana life ban sio rahisi kwa ile ID yake kuibadili jina kwa sababu alishajipatia kiumaarufu fulani hivi kupitia hilo jina la dawa.
 
Kuna huyu KIMETA WA MPUI alinifanya nijiunge jf nilipojiunga sijamuona tena
 
Back
Top Bottom