Member waliopotea JF

Member waliopotea JF

Uwiii!! Nipo mdogo wangu japo kuna kama wiki mbili hivi mambo zilibana kidogo nikaweka simu pembeni kwanza.

Ahsante kunikumbuka. 🙏🙏🙏
Yaan nilikumiss eti, nafurahi kama uko bukheri wa afya my dada😘
 
kimwery lile Jukwaa pendwa litarudi tu Mkuu na mie mara nyingi naonekana kwenye majukwaa ya Vituko mitandaoni,
picha za warembo na magari
nitafute hutanikosa, mambo ya siasa mara huyu kaumwa Corona mara risasi akaa yanini kufuatwa majumbani, miaka iliyobaki ni mi4 tu mambo yatarudi shega hata na twitter
🙌 😂😂😂😂😂😂✋✌👍
 
Back
Top Bottom