Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijamtia machoni mkuu kumbe amejitokeza!!!! Mambo yataenda sawa.Shunie amefanyaje mkuu
sisi wengine hatupendi maisha ya shari.unamuogopea nini Adui yako pambana naye akiwa hai, ili aujue ulimwengu upo upande wake au mwingine, sasa mtu haingii humu anatuma watu si wakamwambie legeza watu wanaangamia kwa kukosa habari
Mambo?Shunie amefanyaje mkuu
Yaan nilikumiss eti, nafurahi kama uko bukheri wa afya my dada😘Uwiii!! Nipo mdogo wangu japo kuna kama wiki mbili hivi mambo zilibana kidogo nikaweka simu pembeni kwanza.
Ahsante kunikumbuka. 🙏🙏🙏
Yupo anakuchora tu [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Anatumia id gani kwa sasa?Yupo na ID nyingine. Ile si ana life Ban..
Hapa penyewe naandika akija sijui kama ataniacha[emoji23]
Tafhadhali nifikishie salamu zangu hakika nime mhamu sana na muombe aje atusabahiNgoja nimfikishie hizi salaam nimwambie mjep amekuhamu
Nilimfikishia salaam mjep amesema atakupigia halafu ameniambia atarudi jf kwa ajili yakoTafhadhali nifikishie salamu zangu hakika nime mhamu sana na muombe aje atusabahi
🙌 😂😂😂😂😂😂✋✌👍kimwery lile Jukwaa pendwa litarudi tu Mkuu na mie mara nyingi naonekana kwenye majukwaa ya Vituko mitandaoni,
picha za warembo na magari
nitafute hutanikosa, mambo ya siasa mara huyu kaumwa Corona mara risasi akaa yanini kufuatwa majumbani, miaka iliyobaki ni mi4 tu mambo yatarudi shega hata na twitter
Daah kwel aisee nmemkumbuka jamaa
Lara1 juzi alirud na threadMoney stuna, lara1