Tangu nijiunge JF kumekuwa na watu kwenye majukwaa tofauti kuwa active wakichangia hiki na kile. Kwa sababu tusizozijua watu hao kwa sasa hawapo, hawa hapa ni baadhi yao
Lizaboni
Simiyu Yetu
@Shyland
miss chagga
@Karauche
Munkari
MUSSA ALLAN
Gentamycin
Nifa
The bold
Je wewe unamkumbuka nani na kwa lipi?
Jamani....Jolie Jolie
Wakwanza ni wakwanza tu mamiii...Jamani....
Nimejisikia tu kukuqoute baada ya kutaja hiyo ID
Huyo yupo mbona na Matusi yake[emoji2]