[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ahaha
Pmj ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swala la Mo tuwaachie serikari sisi wana JF turudini kwenye mada zetu za kila siku,
Hivi member gani humu JF unafikiri Ana sura mbaya kutokana na Post zake au vile tu unaona ID yake ilivyo so unajijengea picha kichwani jinsi alivyo na lisura lake libaya(Machette).
Joking tu Mod tafadhari msifute Uzi huu ni katika moja ya kuchangamsha jukwaa letu pendwa.
Haaahaaa.....ana ubavu wa kuniacha sasa?... Nilipata experience kwake ndo nikajua ma HB vimeo fullVipi walishawahi kukumega na kukuacha nini?
Hahaaa π[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3] Mi Siangalii Hayo, Kama Mtu Ana Uwezo Wa Kitu Flani Na Anani Admire, Siangalii SuraSasa utawekaje handsome na wewe lisura lako kama machete
Moja kati ya wadada ninao wakubalia humu ni wewe.Hahaaa π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Mshanajr anapita kwa sisi tuliopita kitambo tulimuona cha nini wakati mshana alikuwa anasema atakipata lini mkuu
Naona yuko na usongo kinyama bila shaka ni Avatar ya member mmoja humu atakuja soon.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 896875
Hizo ndio za kumwaga sasa mkuuAah mkuu bila kusahau zile zingine loratadine,Atenelor, junior Asa, (N.k)
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Mkuu umewahi kutoka leo kilingeni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maringo yao ni kuwa wanaamini kila mwanamke anawapapatikia kutokana na uzuri wao...so wao hawatakiwi kutumia nguvu nyingi kuomba uhusiano/ papuchi bali papuchi zijilete tuu na hamna kuhudumia bali wahudumiwe, ndio wanaongoza kwa umarioo town!....yaaan siwapendi hao mfyuu zao π π π[emoji1]hahahahhahaha,unakaribia kunishinda mkuu
ila hapana sina hayo,nia yangu nataka kufahamu tuu mkuu,
kwa hyo msaada wako tuu ili niweze kumalizia somo langu.naomba maringo yao yanafanania vipi
@rohombaya [emoji23][emoji23][emoji23]Naona yuko na usongo kinyama bila shaka ni Avatar ya member mmoja humu atakuja soon.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AweeeeeeeeMe naongea kinyume sasa...wakaka walioweka avatar sura mbaya kiuhalisia ndo mahandsome sasa!
Haaahaaahaa...Mungu kawapeni kipaji wanaumeMoja kati ya wadada ninao wakubalia humu ni wewe.