Member wenye Sura mbaya JF

Member wenye Sura mbaya JF

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Karibu tutengeneze ARV's(Efavirenz, Lamivudine, Zidovudine, Emitribicine, Tenofovir nknk)
Aah mkuu bila kusahau zile zingine loratadine,Atenelor, junior Asa, (N.k)
 
Swala la Mo tuwaachie serikari sisi wana JF turudini kwenye mada zetu za kila siku,

Hivi member gani humu JF unafikiri Ana sura mbaya kutokana na Post zake au vile tu unaona ID yake ilivyo so unajijengea picha kichwani jinsi alivyo na lisura lake libaya(Machette).



Joking tu Mod tafadhari msifute Uzi huu ni katika moja ya kuchangamsha jukwaa letu pendwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1539049710764.jpeg
 
[emoji1]hahahahhahaha,unakaribia kunishinda mkuu

ila hapana sina hayo,nia yangu nataka kufahamu tuu mkuu,
kwa hyo msaada wako tuu ili niweze kumalizia somo langu.naomba maringo yao yanafanania vipi
Maringo yao ni kuwa wanaamini kila mwanamke anawapapatikia kutokana na uzuri wao...so wao hawatakiwi kutumia nguvu nyingi kuomba uhusiano/ papuchi bali papuchi zijilete tuu na hamna kuhudumia bali wahudumiwe, ndio wanaongoza kwa umarioo town!....yaaan siwapendi hao mfyuu zao 🙄 🙄 🙄
 
Naona yuko na usongo kinyama bila shaka ni Avatar ya member mmoja humu atakuja soon.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@rohombaya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom