Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
[emoji3][emoji3][emoji3]Lazima tuwe na vipaji ila sema tu unakumbuka haba.Haaahaaahaa...Mungu kawapeni kipaji wanaume
Mh!pole mkuu naoja jinsi unavyotaabika ....believe me haupo mwenyewe kwenye janga hiloKwa mwanaume uhandsome ni pesa peke yake. Mengine tunajichosha tu
Ooohoowky,nimetake baadh ya vitu hapaMaringo yao ni kuwa wanaamini kila mwanamke anawapapatikia kutokana na uzuri wao...so wao hawatakiwi kutumia nguvu nyingi kuomba uhusiano/ papuchi bali papuchi zijilete tuu....yaaan siwapendi haooo π π π
Kwanza wengi wako rojo rojo sanaMaringo yao ni kuwa wanaamini kila mwanamke anawapapatikia kutokana na uzuri wao...so wao hawatakiwi kutumia nguvu nyingi kuomba uhusiano/ papuchi bali papuchi zijilete tuu....yaaan siwapendi hao mfyuu zao π π π
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimemfariji tu mkuuUmeamua kumchana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema haiwezi kuizidi ya Rohombaya
Sanaa...ni marioo wa kutupwa hata kama ana kazi!Kwanza wengi wako rojo rojo sana
Umeongea ukweliMe naongea kinyume sasa...wakaka walioweka avatar sura mbaya kiuhalisia ndo mahandsome sasa!
Wanawakataa wakina zero sababu wana sura ngumu sura za kaziSanaa...ni marioo wa kutupwa hata kama ana kazi!
Wadada wasiojitambua wameumizwa na hawa viumbe!
Maji yalipelea au alimuachia mwanafunzi wa fild semister ya kwanza akutengeneze,
Haaahaa...ndo ujirekebishe sasa mkuu!Ooohoowky,nimetake baadh ya vitu hapa
shukran kwa ushirikiano
Wanaume sura za babu wanajua kuhandle asee!Wanawakataa wakina zero sababu wana sura ngumu sura za kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu...Umeongea ukweli
Aya mkuuAsante mkuu...
Niliyenae ananitosha asee...kakamilikaLove me first