Member wenye Sura mbaya JF

Member wenye Sura mbaya JF

Maringo yao ni kuwa wanaamini kila mwanamke anawapapatikia kutokana na uzuri wao...so wao hawatakiwi kutumia nguvu nyingi kuomba uhusiano/ papuchi bali papuchi zijilete tuu....yaaan siwapendi hao mfyuu zao 🙄 🙄 🙄
Kwanza wengi wako rojo rojo sana
 
Sanaa...ni marioo wa kutupwa hata kama ana kazi!

Wadada wasiojitambua wameumizwa na hawa viumbe!
Wanawakataa wakina zero sababu wana sura ngumu sura za kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom