Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha na tupo kimyaa tuWenye sura mbaya mboma wanajijuaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Najua unachochekeaa yaan weweeHaha na tupo kimyaa tu
Mbao za mawe [emoji58]Swala la Mo tuwaachie serikari sisi wana JF turudini kwenye mada zetu za kila siku,
Hivi member gani humu JF unafikiri Ana sura mbaya kutokana na Post zake au vile tu unaona ID yake ilivyo so unajijengea picha kichwani jinsi alivyo na lisura lake libaya(Machette).
Joking tu Mod tafadhari msifute Uzi huu ni katika moja ya kuchangamsha jukwaa letu pendwa.
Nasikia wewe ni chibonge!! Tam sana[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Na sisi wenye sura za baba zetu tunacomment wapi eti
insta babe muogope mungu 😂😂😂Na sisi wenye sura za baba zetu tunacomment wapi eti
nipo dada majukumu yataniua
Pole sana mdogo wangu. Hayawezi kuua bana.nipo dada majukumu yataniua