Member wenye Sura mbaya JF

Member wenye Sura mbaya JF

Swala la Mo tuwaachie serikari sisi wana JF turudini kwenye mada zetu za kila siku,

Hivi member gani humu JF unafikiri Ana sura mbaya kutokana na Post zake au vile tu unaona ID yake ilivyo so unajijengea picha kichwani jinsi alivyo na lisura lake libaya(Machette).



Joking tu Mod tafadhari msifute Uzi huu ni katika moja ya kuchangamsha jukwaa letu pendwa.
Mbao za mawe [emoji58]
 
Dah...ni tusi kubwa sana kumwambia mwanaume eti ana sura nzuri....uzuri wa mwanaume upo kwenye wallet... nguvu za "misuli" na kwenye ubongo... [emoji35] [emoji35] [emoji85]
 
Kila siku mnapishanga kwenye milango ya daladala! wewe vizia watu wakati wa foleni utaona wanacomment ndio utashangaa kumbe Omuzirambogo ni huyu! Penda kuchunguliwa wanaochati utawajua!
 
Back
Top Bottom