Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

🫣🫣🀩🀩🀩🀩 mjomba naogopa πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mjomba nakujua una aibu sana ila mwamba ana shida huyo..... The Icebreaker umekubali kumuoa komwee bichwaa

Haya umekubali kwanzia sasa hivi ni mke wako huyo

Oya mjomba huyo ni mume wako hii ni ndoa ya kwanza kwenye huu Uzi

Wengine wanataniana nyie mmeoana kweli Haina pingamizi
 
MC kachafukwa hapo yupo yeye na rafiki yake yupo kichwani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Selikavu cocastic MC apewe tuzo kabla ya sherehe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mjomba angu mbona fasta sana au naota πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi kweli nimeshaolewa na The Icebreaker ? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushaolewa tyr Haina kuchelewesha kama unataka mume wa pili sema akuoe nayeye ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uwiiiihhh asante mjomba angu LOL πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndoa ninayo na ninatamba nayo labda kipengele aje nacho yeye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒBuyer beware
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…