Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Umeamua kuchomoa betri mkuu 😂
Umeamua kuchomoa betri mkuu 😂
😹😹😹😹 EwaaahhhhhKwamba tuzae platinum Member sio😃😃
The Icebreaker au 😂😂😂Mjomba naogopa jamani 😂😂😂 nina aibu mie 😂😂 THE ICE 😂😂
🫣🫣🤩🤩🤩🤩 mjomba naogopa 😂😂The Icebreaker au 😂😂😂
Aache hiyo hiyo shemeji 😂😂
😂😂😂heee kumbe kweli
Watu 85 wapo wanakusubiri kama pepon mkuu😃😃Uduguuu bila kuwa king'ang'a mbona utachundraaaaa!!
😂😂😂😂😂😂😂
Kabia hapo hapo mashem washakupa goli la wazi..!! 😹😹😹Uduguu mume ninae, afu kina mejiii wananielewa na kunikubaliii, em cheki hapoo.
Family imenipokea na nikapokeleka.
😂😂😂😂😂😂
😹😹😹😹Vita na marasta siiwezi, nakuacha mwenyewe 😂
Sitaki vita na braza Min😃😃Huyo anawekewa dedication songs mara kwa mara na min, hiyo itakuwa vita nyingine 😂
Funga vya mtandio ili mjifunge na kibwaya 😂Kabia hapo hapo mashem washakupa goli la wazi..!! 😹😹😹
Mi nafunga sale huku tucheze vanga..!! 🤣
AseeeSasa wee hutaki kula Ba tamu?
Ama utakula ndo ule? Au ule ndo utakula?
😂😂😂😂😂
Nasemaje, bi harusi kajitunza mtoto hata hajui dudu wala mende, ndio kwanza anasoma zero kilometre km gari za kampeni za wagombea urais..!!MC Lamomy sherehesha kidogo tupate kionjo cha harusi itakavyokuwa 😂
Umeulizwa kiufundi hapa, shemeji yupo vizuri nyanja zote 😂
Me nabisha muda wote najua nimepewa mkeBa tamu!! Sasa mtego gani na mie nishakabidhiwa wee nikulee.
Amini umepata mlezi sahihi na bora.
Awwwww!! 😂😂😂😂😂
Ila hapatikani🤣Unamtafuta da Mau 😹
Tupendane budaah 🤣Ama nini mkuu😅
Hujambo