Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....

Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani?

Binafsi nadhani GENTAMYCINE na Numbisa wakipeana wakati nadhani hakuna couple inayoweza kuisogelea hii couple. Makelele yote ya huyu member wa kiume[???] Yangetulizwa na mdada[???].
Naomba unikisie mie nitapendeza nanani
 
Mie na kaka enu tutakua tunasex kutafuta watoto, mambo ya mikamiano na uji kujaa bakuli sio shida zangu.
Muhimu tuna enjoy kuunganisha vya sirini.
😂😂😂😂😂
GqMR-ilW4AAqvIO.jpeg
 
Mjomba angu bado niko ngangari, kitu bado mbichi yani piruuu, kigoli mie na nyota yangu LOL 😂😂😂

Mjomba naomba sapoti yako niolewe jamani, nampenda yule rafiki yako 😂😂
Rafiki yangu yupi huyo mjomba nikuozeshe hata kama hana mahari nitagharamia Mimi mpwa wangu 😂
 
Back
Top Bottom