Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Yupo busy na october 😂Owaa niache😃😃😃nitamwita mamtu wako aje kuona anadate mshenga🤣🤣endelea sasa😃😃
Yupo busy na october 😂Owaa niache😃😃😃nitamwita mamtu wako aje kuona anadate mshenga🤣🤣endelea sasa😃😃
Mapenzi tu hayo kaka ingekuwa mamsosi sawaa😃😃Aisee we ndugu yangu muoga sana, unanidhalilisha 😂😂😂
Watawezana tu 😂Edo kissy na waifu material ??? Mmmh!! Ngoja tuone 😂
Ni Kijana mstaarabu nawesa kukuleteq Kiapo chake hapa chenye muhuri wa mwanasheria 😃😃😃Hadi nihakikishe kwanza kama kweli kijana ni mstaarabu😂😂
Wala yeye hataki mbegu nyingi, huo upungufu ndo anautaka ili apate muda wa kufanya mambo mengine 😂😂😂Mbegu zenywe sina kaka nina upungufu🤣🤣🤣
Razorblade coca hapa ni mtu wa 85 huyu anaunganishwa tuu🤣🤣🤣
Jamaniiiii!! Sa itakuajeee? 😂😂😂😂
Kashavuka huko hataki kukamiwa 😂😂😂Ukosefu wa hela unapelekea pre mature ejaculation 🤣🤣🤣
Wanasema kijana ni mstaarabu kama mimi, nadhani tutaendana😂😂Edo kissy na waifu material ??? Mmmh!! Ngoja tuone 😂
Tulia 😂Mapenzi tu hayo kaka ingekuwa mamsosi sawaa😃😃
Yaaan!! Nishakua cha wote, au maharage ya mbeya.Razorblade coca hapa ni mtu wa 85 huyu anaunganishwa tuu🤣🤣🤣
Ebu nichagulieMpaji Mungu ushachagua au nikuchagulie?
Kwishaaa! 😂Selikavu Ba tamu twenzetu, jambo lishakua leleleeee.
Mahusiano tunayo, na tunatamba nayooo.
Weraaaaaa weraaaaa!! 😂😂😂😂😂😂
Achana nao hao anza kurasa ya huba na ndugu yangu 😂Jamaniiiii!! Sa itakuajeee? 😂😂😂😂
Bila shaka mtaendana sana 😂Wanasema kijana ni mstaarabu kama mimi, nadhani tutaendana😂😂
Ahsanteee shem, nioneshe jiko niwafanyie masapta saptaa.Kwishaaa! 😂
Karibu kwenye familiya yetu shemeji.