kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Sina hiyo tabia hawa ninaowaandikiaga nyuzi ni kwasababu hawapo JF๐๐ awe na amani kijanamtu poa sana waifu material ila akizinguliwa tujiandae kusoma uzi wa ndugu yetu ๐ ๐
Sina hiyo tabia hawa ninaowaandikiaga nyuzi ni kwasababu hawapo JF๐๐ awe na amani kijanamtu poa sana waifu material ila akizinguliwa tujiandae kusoma uzi wa ndugu yetu ๐ ๐
Ntamuweza kweli huyo๐๐Atakuja tu ila anafahamika kama Edo kissy kijana mtaratibu na mtanashati ila siyo simp wala nice guy ๐
Aweee sina hela kaka๐
Daby na Cocastic nao wakiyajenga vizuri wanaweza kututengenezea capo moja kabambe sana.Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani?
Binafsi nadhani GENTAMYCINE na Numbisa wakipeana wakati nadhani hakuna couple inayoweza kuisogelea hii couple. Makelele yote ya huyu member wa kiume[???] Yangetulizwa na mdada[???].
Utamuweza hana mambo mengi๐๐คฃNtamuweza kweli huyo๐๐
Kwahiyo tuwe na uhakika shemeji tumepata? ๐Sina hiyo tabia hawa ninaowaandikiaga nyuzi ni kwasababu hawapo JF๐๐ awe na amani kijana
Atabadili gia angani, hapa ntaendelea kubaki singo๐๐Tutampa utaratibu, jambo la kwanza ni kupitia nyuzi zake zote ๐๐๐
Efootball linanitosha kw sasa nikhitaji nitaleta Uzi ๐๐Tulia kaka mie nimekuja kuwasilisha hitaji lenu, hamtakuwa wapweke tena ๐
Ngoja waje niliowaomba wawatafutie JF Soulmate ๐๐๐
Kabisa yani hana mambo mengi, kwanza siyo muhuni na utafurahia upendo wa aina ya kipekee sana.Ntamuweza kweli huyo๐๐
hyo imepita twende kwa mwingine ๐๐
Mamiyake๐คฃ๐คฃ๐คฃhyo imepita twende kwa mwingine ๐๐
Hamna yeye hana shida kabisa, kwake jambo la muhimu ni uaminifu tu.Atabadili gia angani, hapa ntaendelea kubaki singo๐๐
๐๐๐๐๐ duuuh!!
Tuhamie kwa Muimba SINGELI nae anatuchanganya sana ๐๐๐hyo imepita twende kwa mwingine ๐๐
cocastic tafadhali muhurumie ndugu yetu huyu walau apate wa kumliwaza ๐๐๐Mamiyake๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mnakabia juu mno wadau๐คฃ๐คฃ
Asee huyu Coca tutapewa wangapi sasa๐๐๐au ndo tutafanya polyandry ๐๐
Ila Waja, khaa! ๐๐๐๐
Edo ashapewa waifu material, hivyo coca anabaki kwako ๐Asee huyu Coca tutapewa wangapi sasa๐๐๐au ndo tutafanya polyandry ๐๐