Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

😅😅 Leo dada na rara reree hyo ni couple ya kumwaga likes
Vigezo vimezingatiwa hata hiyo yako itasimama sana mkuu, Lamony ni mtu wa vaibuuuu na wewe versatile, unaweza kuswitch kirahisi😂😂😂
 
Vigezo vimezingatiwa hata hiyo yako itasimama sana mkuu, Lamony ni mtu wa vaibuuuu na wewe versatile, unaweza kuswitch kirahisi😂😂😂
Hyo anapenda hela sana kaka 😂😂
 
Nimepitia uzi vizuri naona kwenye familiya yangu ni mmoja tu ndo ametajwa sana dosho12

Joanah na Lamomy naombeni mnisaidie kwa hawa ndugu zangu nao wapate hata wa kuwalia hizo pesa za saidia fundi.
👇👇👇
Selikavu
Edo kissy

Kuhusu Intelligent businessman sina shaka nae ila nina wasiwasi na TheNomad maana nae hakutuletea mrejesho kama amepata wakuendana nae.

Khalas 😂
 
Edo kissy ni mpole hivyo cocastic atamfaa sana 😂😂
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....

Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani?

Binafsi nadhani GENTAMYCINE na Numbisa wakipeana wakati nadhani hakuna couple inayoweza kuisogelea hii couple. Makelele yote ya huyu member wa kiume[???] Yangetulizwa na mdada[???].
mzabzab na Binti wa zamani
 
Back
Top Bottom