Huyu mzee wa heshima ametulia sana, na hizi fujo zangu nitamsababishia presha ya kushuka bure.Vipi Shimba ya Buyenze si ataendana na Binti wa zamani 😂😂
Nakuja kujitawala huko🤣We ndio mama mjengo 😂
Unanipa Raha Sanaa ephen_ Wanguuu kipenzi . Lazizi wa ❤️ Wanguuu. Natamani tuishi wote angani ephen. Nakupendaaaa sanaa ephen_ kwa dhati ya ❤️ Wanguuu.🌹Lucas Mwashambwa tunaendana mimi na wewe♥️
Bado naangalia angalia 😎😅Binti wa zamani hujaona wa kufafana nae humu🤣🤣
Nitamtwanga huyo na hata kuwa na kwa kunishitaki . maana akienda polisi ataongezewa kipigo kikali cha mbwa koko pale watakapo sikia amemgusa ephen_ Wanguuu mboni yangu na waridi wa moyo WanguUnatafuta ugomvi na Lucas Mwashambwa
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Hebu kitulize, huna uwezo wa kumhudumia Mallerina wewe, muache kijana mwenye 💵💵💵 za urithi, ammiliki mtoto mzuri.
Umilele upo kwa waaminio ktk krisito Yesu.Uzuri hatuishi milele
"Mtaachana tu"Cookie awapige ban members wote, jf tubaki mimi na wewe peke yetu.☺️😻😍❤️
Hii sasa dharau kwetu,mapenzi gani hayo!aisee😀😀😀
Hebu angalizia na upande huu basi.Bado naangalia angalia 😎😅