Tenaa ntamtoa msongo wotee,Acha ujinga wewe kwani hela ndo inalomba? ๐๐๐
Sisi tunakutafutia kwa kukuondolea huo msongo wewe unaleta uwaki ๐๐๐
Ndo imeshakua hivyoo, ๐๐๐๐Aseee๐mbona ghafla hivi ๐
View attachment 3454871
Hakuna cha ghafla hapa, mtafutie shemeji account muwe mnacheza mechi wenyewe ๐๐๐Aseee๐mbona ghafla hivi ๐
View attachment 3454871
Em muambie huyo nduguyo anifungulie, tucheze wotee.Hakuna cha ghafla hapa, mtafutie shemeji account muwe mnacheza mechi wenyewe ๐๐๐
Tunaimani nawe shemeji yetu.Tenaa ntamtoa msongo wotee,
Atakua mpya na kunawiri huyu ndugu yenu.
Nipo kuhakikisha anafurahia uwepo wake hapa duniani, niko kwa ajiri yake.
๐๐๐๐๐
Unamnzgumzia kama nani kaka๐๐๐Kashavuka huko hataki kukamiwa ๐๐๐
Na hakuna wakupinga ๐Ndo imeshakua hivyoo, ๐๐๐๐
Woyoooooo!!!Kashavuka huko hataki kukamiwa ๐๐๐
๐๐๐๐๐Na hakuna wakupinga ๐
Eti shemeji cocastic unapenda account yako iwe na wachezaji gani?Leo umeshinda fala wewe ๐๐๐nitakukuta Angle zako๐๐
Mke wa ujana wangu!!!
Taarifa ziwafikie wote kuwa jimbo tayari limepata mbunge ๐Aririiiiiiiiiiiiiiii!!! ๐๐๐๐๐
Hakuna shida we taja first eleven yako tu ๐๐๐Em muambie huyo nduguyo anifungulie, tucheze wotee.
๐๐๐๐๐
Nitailinda amani yenu, nduguyo yuko sehemu salama.Tunaimani nawe shemeji yetu.
Khalas ๐
Mimi kama shemeji yake ๐๐๐Unamnzgumzia kama nani kaka๐๐๐
Subiriii chaap, nakiweka kikosi changu hapa.Hakuna shida we taja first eleven yako tu ๐๐๐