Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Hivi ndo vitu sasa, japo ndugu yetu amejitetea nguvu zimepungua lakini yeye kakubaliana nalo ๐Ÿ˜‚

Mbegu chache tu anahitaji wala hataki za kujaa kisado ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mie na kaka enu tutakua tunasex kutafuta watoto, mambo ya mikamiano na uji kujaa bakuli sio shida zangu.
Muhimu tuna enjoy kuunganisha vya sirini.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndiwoooooo!!
Hiyo efootiball yake, tutakua tunacheza wote.
Hadi PS5 na DLS.
ashindwee yeyeee tyuuu, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜ƒAseee
Kwenye hao 85 wacheza magemu wapo wengi Mkuu labda nikusaidie kukuangalizia me sina vigezo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Mie na kaka enu tutakua tunasex kutafuta watoto, mambo ya mikamiano na uji kujaa bakuli sio shida zangu.
Muhimu tuna enjoy kuunganisha vya sirini.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Muhimu mawasiliano maswala ya kucharge simu hadi ifike 100% siyo shida zako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nimepitia uzi vizuri naona kwenye familiya yangu ni mmoja tu ndo ametajwa sana dosho12

Joanah na Lamomy naombeni mnisaidie kwa hawa ndugu zangu nao wapate hata wa kuwalia hizo pesa za saidia fundi.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Selikavu
Edo kissy

Kuhusu Intelligent businessman sina shaka nae ila nina wasiwasi na TheNomad maana nae hakutuletea mrejesho kama amepata wakuendana nae.

Khalas ๐Ÿ˜‚
Selikavu tumpe Nusratt ๐Ÿ˜น
Edo mpole apewe waifu material
 
๐Ÿ˜ƒAseee
Kwenye hao 85 wacheza magemu wapo wengi Mkuu labda nikusaidie kukuangalizia me sina vigezo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Nakutakaa wee!! Hao wengine sijawaona na siwajui.
Mie nishafika kwako na mabegi nishatua, kwa kifupi ndo nipo hapo kwako.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom