kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Aaah! Sawa shemeji ☺️😅Hapana hizo ni sms mbili tofauti😃😃
Me alikua ananiambia kuhusu tag yangu 😃😃
Aaah! Sawa shemeji ☺️😅Hapana hizo ni sms mbili tofauti😃😃
Me alikua ananiambia kuhusu tag yangu 😃😃
Familiya hatupingani na tunajuana vizuri 😂Huyu kijana inaonekana ana kitu kila mtu anasema ananifaa😂😂
😂😂😂loh! Hakika bahati ipo upande wanguWateja wananichnganya mpk na mix mafile i mean eddo bana..!!
Kwanza kina Eddo wote wapole watoaji pesa, jiandae kuogelea kwenye mifwedha..!!
Halafu wengi wanakuwaga wachaga sijui kwanini? 😹😹😹
Wewe saidia fundi tukupe Mary ndo nyota yake ilipo kwenu wazee wa pima maji na mwiko 😹😹😹Aah boss hela zangu za saidia fundi sitomuweza😃😃😃
Sema hapo kwa Edo Kissy uwakika sana tupo tunatafuta ukimbi hapa wa sherehe Edo Kissy akija tu kiwake😃😃
Yule humuwezi fam we komaa na jeshi cocastic tu 😂Mamiyake🤣🤣🤣
We jamaa una ufala sana 😃😃😃
Shemeji wewe wako nani naona unatafutia wenzio tu😂😂Familiya hatupingani na tunajuana vizuri 😂
😹😹😹Hapana ndugu yetu ni verified na huyo uliyemtaja ana mzio na hao watu 😂
wake ni Toyana wong 😅😅Shemeji wewe wako nani naona unatafutia wenzio tu😂😂
nimekuhamu 😀Unanitaja sana, vipi kwani? Hujamboo?
😂😂😂😂😂
😂😂anaupiga mwingiwake ni Toyana wong 😅😅
Udugu ushakuwa king’ang’a 😹😹Nakutakaa wee!! Hao wengine sijawaona na siwajui.
Mie nishafika kwako na mabegi nishatua, kwa kifupi ndo nipo hapo kwako.
😂😂😂😂😂😂
Etiii eeeh? 😂😂😂😂nimekuhamu 😀
Kula maisha na toto hilo wewe acha kurukaruka 😂Me sitaki vita kaka😃😃waendelee kugombania tuu me sipo😃😃
Uduguuu bila kuwa king'ang'a mbona utachundraaaaa!!Udugu ushakuwa king’ang’a 😹😹
😅 hakika tukimleta hapa atakuwa mpole mno, 😅😅😂😂anaupiga mwingi
Ewaah! Ukumbi tutatafuta wenyewe kiumeni 😂Harusi tunayo na tunatamba nayoooo!!!
😂😂😂😂😂😂
Nimewahiwa😂😂Dear waifu material jitokeze basi 😍😍😍