Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Nakutakaa wee!! Hao wengine sijawaona na siwajui.
Mie nishafika kwako na mabegi nishatua, kwa kifupi ndo nipo hapo kwako.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kama ipo ipo tu ๐Ÿ˜‚

Selikavu

Kwenye ndoa DJ atakuwa Joanah apige yale magoma ya night club halafu MC atakuwa Lamomy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom