Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Nasemaje, bi harusi kajitunza mtoto hata hajui dudu wala mende, ndio kwanza anasoma zero kilometre km gari za kampeni za wagombea urais..!!
Inshort mtoto cocastic album haijazinduliwa ila miuno anajua kukata km feni la gesti za kigogo mburahati..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wewe umepata mume mwingine?! Nikusemeee

Maana jamaa yupo porini huko hamna network

Kapachino
 
Nasemaje, bi harusi kajitunza mtoto hata hajui dudu wala mende, ndio kwanza anasoma zero kilometre km gari za kampeni za wagombea urais..!!
Inshort mtoto cocastic album haijazinduliwa ila miuno anajua kukata km feni la gesti za kigogo mburahati..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Uduguuuu em leta ๐ŸŽค, ushalewa wee.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom