Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

HIvi mke wangu umetoka hapa Home kwa ruhusa ya nani?

Mbona sikuoni chumbani? Au ndio umeanza dharau mapema hivi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
narudi my hubby, nilienda kumsalimia shosti angu ... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nikuandalie maji ya kuoga? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muhimu ni wee uelewe, hayo ya ugumu na kuchoka, niachie mie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shemeji yangu kama ni DMF basi wewe ni Anchor man na kama ni CB basi ni Build up πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mie Messi, Lapulga naweza tokea back had ndani ya box na kufumania nyavu.

Au huyo kwa avatar yako, Saint Gaucho.

Amaa neneee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yeah Gaucho fundi wa mpiraπŸ˜ƒ
 
Back
Top Bottom