Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Mie Messi, Lapulga naweza tokea back had ndani ya box na kufumania nyavu.

Au huyo kwa avatar yako, Saint Gaucho.

Amaa neneee, 😂😂😂😂😂😂
Kashakubaliana na wewe huyo, hapindui kwako shemeji hapo anavunga tu 😂
 
Ndo ufungue acc sasa, Messi, gaucho, Xavi, iniesta, Ozil, zidane, Robben, De bruyne, hawa lazima wawepo.
Kikosi utapanga mwenyewe. 😂😂😂😂😂
Hili kosi la mauaji kabisa hapo mabeki na kipa ataongezea mwenyewe 😂
 
Back
Top Bottom