Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
IKo Bien,Tuko tunatazama maoni hapa,baada ya kutumikaHarakati zinasemaje ndugu yangu
IKo Bien,Tuko tunatazama maoni hapa,baada ya kutumikaHarakati zinasemaje ndugu yangu
shida meji wewe panga mkononi 😂😂Mejiiii acha nongwa na husdaaa?! Khaaaah.
😂😂😂😂😂😂
Hapanaa, kwa SK nimetuliaaa wala sina matataaa.shida meji wewe panga mkononi 😂😂
Hahahaha, 🤣 goba ipi hy? Karibu tusumbulie huku Kwa kaziTresor Mandala mwenyewe yupo goba ana ukongomani wa mchongo
😂😂😂😂😂😂😂Hahahaha, 🤣 goba ipi hy? Karibu tusumbulie huku Kwa kazi
Kipa Buffoon, mabeki Pepe na Marcelo. Wengine atamalizia yeye.Hili kosi la mauaji kabisa hapo mabeki na kipa ataongezea mwenyewe 😂
Hapana sisi tutaungana na shemeji, ugomvi wake ni wetu 😂Nakutetea kaka, maana siku cocastic aki chafukwa tuna pigwa maneno mpaka tuna hama.
Mie sina baya shemeji nitakuwa wa kwanza kuleta zawadi 😂😂😂Tena chotara haswaaa!! 😂😂😂😂😂
Uzuriii mejiii, mie mwenyewee ni jeshii, naanzisha na namalizaaa.Hapana sisi tutaungana na shemeji, ugomvi wake ni wetu 😂
Likitokea vagi popote anatuita, call 1 tu tunavamia kambi 😂😂😂
Woyooooooo!!! 😂😂😂😂Mie sina baya shemeji nitakuwa wa kwanza kuleta zawadi 😂😂😂
Shemeji hapaswi kupoa 😂shida meji wewe panga mkononi 😂😂
Wakikuchafua call 1 tu shemeji tunakuja kutimua vumbi 😂😂😂Hapanaa, kwa SK nimetuliaaa wala sina matataaa.
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hilo kosi linawatu wakatili wakati wa kushambulia na wakatili wakati wa kuzuia, hili kosi uhakika kabisa shemeji 😂😂😂Kipa Buffoon, mabeki Pepe na Marcelo. Wengine atamalizia yeye.
Wee unaonaje hilo kosi, mejiiii, 😂😂😂😂😂
Mkuu si tulikubaliana X Harudiwi.
Ndugu yetu kapata chombo na familiya imepata shujaa 😂😂😂Uzuriii mejiii, mie mwenyewee ni jeshii, naanzisha na namalizaaa.
Nyiee tulieni, mtafurahi kuwa mejii enuu.
😂😂😂😂😂
ohooo nilijua tu muimba singeli hawezi kuhimili mikiki ya maria. hata hapa nimewakutanisha makusudi tu nione couple yao ingekuwaje kumbe wameachana kabla hata sija wish 😅😅😅Hawa walishaachana
Mwanetu ulikuwa chimbo gani? 😂😂😂😂😂😂
mkuu haunitakii mema.