Upinde ni ngumu sana kuwadhibiti, wanajimbambania kuliko straight fellowsTatizo kuna midume inayoenda kama mijike humu na kuna watu wana ID mbili za jinsia tofauti.
Usipokuwa makini unaweza jikuta unaunda couple ya midume miwili au kuunda couple ya mtu mmoja.
Vipi Shimba ya Buyenze si ataendana na Binti wa zamani 😂😂Binti wa zamani hujaona wa kufafana nae humu🤣🤣
Labda yeye apinge😂😂Vipi Shimba ya Buyenze si ataendana na Binti wa zamani 😂😂
Best kapo 💯
Astaghafirullah 😃Mzee Bujibuji nyama ume na Sweetheart Gilesi mitikisiko..
Unatafuta ugomvi na Lucas Mwashambwa
Akhu! Mi na wazinzi wapi na wapi? 😹😹
Mkongwe Daby umekuja na uzi wenye maudhui haya 🤗🤗🤗hatujakuzoea hivi, au vitoto vya elfu2 vimekubadilisha mentality🤗🤗sio kwa ubaya lakini🤣Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani?
Binafsi nadhani GENTAMYCINE na Numbisa wakipeana wakati nadhani hakuna couple inayoweza kuisogelea hii couple. Makelele yote ya huyu member wa kiume[???] Yangetulizwa na mdada[???].
Kwahiyo anaji couple yeye mwenyewe 😀 😀 😀 😀Mzee Bujibuji nyama ume na Sweetheart Gilesi mitikisiko..
We si unaniitaga mdogo wako? 😹😹Lamomy na Antonio de Guzman uyu nataka nimtulize