Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Alafu mnapanga kwenda kukulana kumbe unaenda kuchezea kifiro 😆Tatizo kuna midume inayoenda kama mijike humu na kuna watu wana ID mbili za jinsia tofauti.
Usipokuwa makini unaweza jikuta unaunda couple ya midume miwili au kuunda couple ya mtu mmoja.
😹😹😹 kipochi whaaatttt???
Sasa kwani ukiwa mdogo wangu ndo mzigo haupiti? Yule kalala mbele na ukute ni dume lenye 🆔 2We si unaniitaga mdogo wako? 😹😹
Kumbe unanilia mingo na sijui..!!
Wewe bhana Marry Dikompoza ndo mtakiki mnaendana..!! 🤣
Hapanaaaaaaaaaaaa (in mkojani voice)Sasa kwani ukiwa mdogo wangu ndo mzigo haupiti? Yule kalala mbele na ukute ni dume lenye 🆔 2
Natamani nipate ushuhuda watu walionzisha uhusiano humu wakatoboa na kuishi kama familiabna kupata watoto kabisaUnatafuta ugomvi na Lucas Mwashambwa
kuna huyu mkuu Mume halali wa Ephen
Mungu nifundishe kunyamaza 🤐😂
Mwee wee mie ndio partner wako mzuriAkhu! Mi na wazinzi wapi na wapi? 😹😹
😂😂😂 wewe bhana ebu ngoja uku uvinza nije tuongeeHapanaaaaaaaaaaaa (in mkojani voice)
Naomba ukaka na udada uendelee 😹
Nimefurahi sana.
Hadi Mimi 😎Nimefurahi sana.
😃😃😃Lucas Mwashambwa tunaendana mimi na wewe♥️
🤣🤣🤣🤣 ushindwe na ulegee.