Member's mlioweka private profile zenu mnatukosesha nondo zetu...πŸ˜”

Yote hiyo najua, ila si mada zake zote.

Naona bado hatuelewani.
Ila Asante kwa kunisaidia mkuu Dr Restart πŸ™
 
Usijali kipenzi.
Kuna tatizo lilitokea ghafla kama nusu saa iliyopita, so ikabidi nitafute ufumbuzi + sielewi = maruweruwe
Ila Asante kwa kunisaidia angalauπŸ™
 
Wengi kwenye profile wanatafuta umbea tu, ukitaka amani humu jf funga kila kitu hasa pm yani unaishi kwa raha mustarehe saaana
Si kila mtu anatafuta umbea kwenye profile
Kama wewe uko hivo, si kila mtu Kapeace
Nilitaka ufafanuzi yanikifu
 
Sio kwa ubaya mkuu neno conservation umelitumia pahala sipo nadhali ulimaanisha Conversation.
 
Hata hivyo nimeandika wengi sio wote, unafikiri mi mwnyww siview profile za watu na nikikuta kofuli nachukulia kawaida tu ila wengi wanatafuta kufufua makaburi ili wakuumbue, kudhalilishana dhihaka nk
So sadπŸ₯Ί
Ndio maana karibu robo tatu ya wadada wa Jf Pm zao zimefungwa nafikiri hii ni sababu, wanaita "kufukua makaburi"
Kuna mada humu ilianzishwa sikumbuki na nani kuhusu wadada wa humu kufunga Pm zao...tulishambuliwa sana.
Ila hebu ona kama hapa, .....utaacha kufunga Pm kweli?
Sms 114, tena hapo nimefuta zingine, zilikuwa kama 309+... tena zote ni wanaume
 
Pole sana lakini....mimi nafikiri siku ukiona mada nzuri imekuvutia wewe copy halafu paste kwenye notebook yako.
 
Hii inategemea unatumia simu ya aina gani na mtandao gani wa simu unatumia jf haina mbambamba.... πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Pole sana lakini....mimi nafikiri siku ukiona mada nzuri imekuvutia wewe copy halafu paste kwenye notebook yako.
Nitafanya hivo....
Maana pia humu unaweza kuihifadhi ukakuta wameifuta.
🀝 Kwaushauri huu mzuri
 
Nadhani unaelewa sasa ni kwanini inakuwa hivyo tena huko pm ndo hasara nyingi kuliko faida, usumbufu wa Salam, mitongozo kuanikana wwngine wana vigroup vya kusengenya watu bwaaah bora kuzifunga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…