Member's mlioweka private profile zenu mnatukosesha nondo zetu...😔

Nadhani unaelewa sasa ni kwanini inakuwa hivyo tena huko pm ndo hasara nyingi kuliko faida, usumbufu wa Salam, mitongozo kuanikana wwngine wana vigroup vya kusengenya watu bwaaah bora kuzifunga tu
Kwa kweli acha tu watu waweke private aisee.
Nikitaka kuzifuta zote kwa mkupuo nafanyaje?
 
Nadhani unaelewa sasa ni kwanini inakuwa hivyo tena huko pm ndo hasara nyingi kuliko faida, usumbufu wa Salam, mitongozo kuanikana wwngine wana vigroup vya kusengenya watu bwaaah bora kuzifunga tu
Mimi nilikua sijui hilo ila tokea nijue pm ina hasara kuliko faida nilitia kufuri🔒
 
Ujumbe huu usomwe na watu wote, kuna wengine wana ushawishi kweli anajifanya rafiki kumbe kichefuchefu halafu Pm ikiwa wazi hata jukwaani hujiachii vizuri wengine watajifanya kuja Pm kukutuliza wengine kukushauri wengine kukuchota 😤😤😤ilmradi kale kaunafiki kawatz kafanye kazi yake

nikiwa na shida na mtu ya dharula namuomba jukwaani simple
 
Mtu hawezi kuelewa mpaka limkute jambo
Mimi lilivyonikuta jambo mbona nilifunga pm na funguo nikaenda kutupa bila kutaka😂🤸
 
Ujumbe huu usomwe na watu wote, kuna wengine wana ushawishi kweli anajifanya rafiki kumbe kichefuchefu halafu Pm ikiwa wazi hata jukwaani hujiachii vizuri wengine watajifanya kuja Pm kukutuliza wengine kukushauri wengine kukuchota 😤😤😤ilmradi kale kaunafiki kawatz kafanye kazi yake

nikiwa na shida na mtu ya dharula namuomba jukwaani simple
Sikupingi uko vzr hunaga mbambamba...
 
Back
Top Bottom