Member's mlioweka private profile zenu mnatukosesha nondo zetu...😔

Ni kwa nyinyi wa dada tu.
lakini unaweza usijibu usumbufu wa mtu, mjinga wewe mpe ukimya atachoka mwenyewe.
Japo ni uhuru wa mtu kufunga ila naona sio bora sana.
Kufunga ni bora mara elf kuna watu ving'ang'a km kupe halafu kile kirangi chekundu wengine kinatushawishi kufungua kusoma ni km kile kialama cha status what'sup kinalazimisha mtu ubofye tu
 
Una soma yenye maana unajibu ya hovyo au tatanishi unapuuza.
 
Back
Top Bottom