Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Habari wana JF Popote Pale Mlipo, Nawasalimu.
Ama Baada ya Salamu Nina Machache ya kuwakumbusha kuhusu WHITE PARTY,
Kumbukeni Party Yetu ni Tarehe 26 January, Lakini mpaka Muda huu Idadi ya Members ambao wametoa michango ni wachache tukilinganisha na Idadi ya members ambao waliahidi kuhudhuria.
Nini Tatizo, Jamani?
Hii ni Party yetu sote wana JF.
Lengo la Hii Party ni Kufahamiana na Kudumisha Upendo kati yetu.
Japo najua kuna ambao watahofia kuja.
PARTY YETU ITAFANYIKIA PALE KEBBY'S HOTEL, BAMAGA MWENGE,kuanzia Saa 11 Jioni.
NA UKUMBI AMBAO UTAFANYIKIA PARTY (TULIOUPATA) NI HUU:
NA PARTY YETU INAITWA:
DRESS CODE NI WHITE CASUAL:
JAMANI, TUNAWAKUMBUSHA KUTUMA MICHANGO YENU KWA Mtambuzi.
Asanteni.
Usipoelewa,
CC: kwa gfsonwin au Mwenyewe Madame B.
MOD'S NAOMBA MSIIPELEKE JAMII PHOTO!!!!!!!!!!!!!!