Members, Mnaombwa Mzidishe Kasi Kutuma Michango ya WHITE PARTY.......!!!!!!!!!!

Members, Mnaombwa Mzidishe Kasi Kutuma Michango ya WHITE PARTY.......!!!!!!!!!!

ha ha ha naona wangekuwa karibu ungewanasa makofi.
Preta kuna wale watakaotaka kulipia mlangoni utafikiri bilicanas waaaaaaaaaache

hahahahaaaa...!!! labda wanafikili itakua viwanja vya posta bamaga. mia
 
Last edited by a moderator:
vp ma miss zawadi zao wamepata? Mbona sijapata copy toka kwa muandaaji wa mashindano? Niliona kuna uzi unaelezea kuwa muandaaji aliugua gafla kabla ya tarehe 30.12.2012 mpaka sasa ni zaidi ya siku 10(inawezekana bado u hoi kitandani) nani kaimu wake? Nani anazingua kati ya muandaaji na member. Copy kwa watu8 charminglady Arabela na wengine.

Sijaelewa......
 
Last edited by a moderator:
White party.. tutume vipi michango.. I hope wa dau wa jukwaa la sports kule tunaruhusiwa kuhudhuria

anaye kusanya michango ni Mtambuzi. kama vipi mtumie pm akutimie namba lakini vilevile kuna namba zishaweka hapa chit chat. angalia thread ya mtambuzi ya michango inakusanywa hapa. mia
 
Last edited by a moderator:
Kule mtambuzi kasema garden na huku kwenye ukumbi au tunaanza garden halafu tunamalizia ukumbini?

wewe unachotaka ni garden, ukumbi au kuenjoy na member wenzako?. kama hutaki kutoa mchango kaa kimya sio unakuja kuwachanganya watu na kuwadiscourage. kama unajiskia kutoa toa kama hutaki waache wanao taka watoe. mia
 
mzee wa figganigga mie mwanzo sikujua maana ya CC ila kwa sasa nimejua ka buku 2 kangu ka uzamini ningekanunua kiloba cha dollers tu mia
tusiseme hivyo. mimi nasubili kusikia upande wa pili coz mara ya mwisho nliongea naye akanambia anaumwa na tuliagana akisema jioni ataweka updates. lakini hakufanya hivyo. mimi namlaumu Mu-sir sababu alisema anafuatilia kinacho msibu ndugu yake halafu atatuletea taarifa. namuonaona tu jf. mia
 
Last edited by a moderator:
tusiseme hivyo. mimi nasubili kusikia upande wa pili coz mara ya mwisho nliongea naye akanambia anaumwa na tuliagana akisema jioni ataweka updates. lakini hakufanya hivyo. mimi namlaumu Mu-sir sababu alisema anafuatilia kinacho msibu ndugu yake halafu atatuletea taarifa. namuonaona tu jf. mia

ok mkuu kwa sasa tuachane na hili tutalishughulikikia atakapo toka Baba V tundu sita kwa sasa tushugulike na hili kwanza la white parrry swali vp double mimi na my waifu wangu natakiwa nitoe sh'ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niangalie kama salary advance mwajiri ameshaweka kwenye kibubu changu
 
hivi kati ya Lowasa na Membe nani atauchukua urais?
 
Back
Top Bottom