Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
..Ucjari wangu..nitafanya juu chini nije...Asante.
Uje basi.
..Ucjari wangu..nitafanya juu chini nije...Asante.
Uje basi.
kwa hii white lazima niingie shop.
Vin Diesel hajakupeleka Shopping?
Na ndo nisham-book White Party hvoo.
.. cacico..utanipa kampani?Jamani cant wait.......! Hebu changeni basi, lol! Mkuje kwa uwingi wenu,
...hahahahahaha..kumbe kuna kubookiana humu eehVin Diesel hajakupeleka Shopping?
Na ndo nisham-book White Party hvoo.
kampani umepata, omba lingine! Karibu sana babito, nitakuwepo nimejaa teleeeee!
....hahahahaha...santeee..kwani kuna kingine unataka kunipa..?kampani umepata, omba lingine! Karibu sana babito, nitakuwepo nimejaa teleeeee!
kuwa na imani! omba lolote utapata! kwi kwi kwi!....hahahahaha...santeee..kwani kuna kingine unataka kunipa..?
hawa wafuatao naomba watume hizo elfu kumi mbili kwa mtambuzi;
1. Mayasa
2. Adrian Stepp
3. Remmy
4. mathematics
5. Eversmilin Gal
6. Saint Ivuga
7. Paw
8. Dena Amsi
9. Slave
10. Baba V na Mama v
11. Thanda na Thando
12. Mtende
13. nduu/mamaya.
Hawa ni marafiki zangu ambao naamini hawataniangusha na mdada wowote watatuma hela.
thanx sana. mia
Inahusu nini kujuana? Ili iweje?
Inahusu nini kujuana? Ili iweje?
umelazimishwa??kwanza no one tagged u we umeshakula ubwabwa wa lumumba vuta shuka ulale maana umevimbiwa
umelazimishwa??kwanza no one tagged u we umeshakula ubwabwa wa lumumba vuta shuka ulale maana umevimbiwa
Jamani cant wait.......! Hebu changeni basi, lol! Mkuje kwa uwingi wenu,