Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Hakuna ushahidi wa picha hapo. Ukome ukomage!
hata mie nimekomaga.
Hakuna ushahidi wa picha hapo. Ukome ukomage!
Mu-sir ni ndugu yake wa damu nashangaa kakaa kimya. mia
tusiseme hivyo. mimi nasubili kusikia upande wa pili coz mara ya mwisho nliongea naye akanambia anaumwa na tuliagana akisema jioni ataweka updates. lakini hakufanya hivyo. mimi namlaumu Mu-sir sababu alisema anafuatilia kinacho msibu ndugu yake halafu atatuletea taarifa. namuonaona tu jf. mia
Mkuu nitaleta taarifa kamili wiki hii kwakuwa Personally nitaonana naye naomba tu uvumilivu wenu.
taarifa ulete haraka aisee!. bila shaka wahusika wamesikia. Remmy, Slave, watu8, charminglady, Arabela, Arushaone. miaMkuu figganigga ni kweli mimi ni ndugu yake na nilisema nitawaletea taarifa ya ni nini kinaendelea. Nilikuwa nje ya nchi kikazi hivyo mawasiliano ya mimi na yeye hayakuwepo kutokana na mazingira niliyokuwa nayao huko. Niemerejea tar 13 january naahidi kuleta mrejesho ndani ya wiki hii. Ahsante
We vipi unabwatuka tu hata ujui unaongea nini? umenisoma vizuri au umekuja kama umefufuliwa vile?wewe unachotaka ni garden, ukumbi au kuenjoy na member wenzako?. kama hutaki kutoa mchango kaa kimya sio unakuja kuwachanganya watu na kuwadiscourage. kama unajiskia kutoa toa kama hutaki waache wanao taka watoe. mia
..mimi sio member wa humu lakini nataka nije kwenye hiyo party...hope nitaruhusiwa..mchango natuma nipatiwe namba tu. Madame B
Mkuu figganigga ni kweli mimi ni ndugu yake na nilisema nitawaletea taarifa ya ni nini kinaendelea. Nilikuwa nje ya nchi kikazi hivyo mawasiliano ya mimi na yeye hayakuwepo kutokana na mazingira niliyokuwa nayao huko. Niemerejea tar 13 january naahidi kuleta mrejesho ndani ya wiki hii. Ahsante
Nina imani ile Ahadi yetu itatimia Mu-sir.
Khaa!
Wifi nawe mpana,ka sinia.
Khaa!
Wifi nawe mpana,ka sinia.
..Thanx nitakaribia best..hope ita happen sanaMkuu kipaji halisi, hii Party si ya wana Chit Chat au MMU peke yao, Bali ni ya wana JF wote toka Majukwaa yoote, Haijalishi uko Siasani au uko Jf Shef, Jukwaa la Dini/Imani au uko Habari na Hoja Mchanganyiko.
Sema tu inaonekana Party hii ni ya wa CC au MMU kwa sababu huku sisi hatunaga Mtafutano kama mliokuwa nao huko na ndo mana tunaweza kuonana na kupanga lolote lie pasi na hofu.
Halafu vile vile sisi huku ni STRESS FREE ZONE,
Karibu sana nakukaribisha na wala hutojuta kaka.
Kuhusu kutuma Mchango, Naomba um-PM Mtambuzi ili akupe namba ya kutuma huo mchango, japo kuna post ipo ambayo imewekwa namba zake za kutuma huo mchango.
..Thanx...maandalizi mema..Karibu sana.
And enjoy.