Nigongeamo LIKE basi.
Nigongeamo LIKE basi.
Unailipia nini?
Wooww Mwanamalundi karibu white party!
Ngoja tukaze buti. Japo mie nilizani ni party ya wa mama tu.
Umesomeka vizuri Madam B ...
figganigga wote hapo tupo active isipokuwa Baba V upande wangu mie muda wowote nitamalizana na Mtambuzi hizo tano tano nne.hawa wafuatao naomba watume hizo elfu kumi mbili kwa mtambuzi;
1. Mayasa
2. Adrian Stepp
3. Remmy
4. mathematics
5. Eversmilin Gal
6. Saint Ivuga
7. Paw
8. Dena Amsi
9. Slave
10. Baba V na Mama v
11. Thanda na Thando
12. Mtende
13. nduu/mamaya.
Hawa ni marafiki zangu ambao naamini hawataniangusha na mdada wowote watatuma hela.
thanx sana. mia
Chit chat members mnanishangaza sana.........hivi ni kwa nini baadhi yenu huwa mnashabikia sana kitu halafu utekelezaji unakuwa zero?........Kama unajua huwezi si uache.........tabia mbaya sana.....
haya wale wote waliosema wanahudhuria watoe pesa mara moja.........msizingue watu hapa.........

Mu-sir ni ndugu yake wa damu nashangaa kakaa kimya. miavp ma miss zawadi zao wamepata? Mbona sijapata copy toka kwa muandaaji wa mashindano? Niliona kuna uzi unaelezea kuwa muandaaji aliugua gafla kabla ya tarehe 30.12.2012 mpaka sasa ni zaidi ya siku 10(inawezekana bado u hoi kitandani) nani kaimu wake? Nani anazingua kati ya muandaaji na member. Copy kwa watu8 charminglady Arabela na wengine.