Members 'ninaowakubali' zaidi humu jf

Cna kinyongo na member yoyote hapa jf ni nyumbani ila cjajua huu ni ukoo wa nan respect yew all brothers.
 
Mi namkubali Joseverest...

Mkuu kwenye huu Uzi cjakuona..daaah

Cc. joseverest
 
Deception huyu jamaa ndie alinifanya nijiunge Jf sababu ya nondo zake.
mshana jr mada zake huwa nazielewa sana hasa mambo ya ushirikina, Mungu, tiba, tahajudi n.k
Eiyer thread au comment zake huwa nazifuatilia, anajua mambo mengi ambayo wengi hatuyajui.
ONTARIO jamaa kwenye kusaka hela namuelewa sana.

Members wengine pia nawakubali , lakini hao ndio nawakubali sana..
 
Eisten newton sijui alisha potelea wapi huyu jamaa fundi sana alikuwa na Uzi unaitwa was Jesus black?
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Naikubali sana hii kapo tuliiiiiiiivvuuu kabisa ya Le great king Smart911 na his queen [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]

Lebig dadaa Money Penny mama la mama... na kiben ten chake 50thebe tehtehteh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

DJ Sepetu mwenyewe the hooooossttt na joanah pembeni

Mwifwa the don rafiki mpenzi apendwaye na cha mdeko wa jf..

Bila kusahau Mama Sabrina muke ya Gggggggggg....
Na wengine woooote wanaonikubali


Nawapenda sana [emoji120] [emoji120] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Nakupenda zaidi muke halali ya Smart911
Ila mimi nimeshaMUACHA huyo dj nani sijui...siku hizi karudiana na kapeace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…