Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,321
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]Hebu nitajie japo watatu niandae party ya kuwapongeza...
![]()
Hebu nitajie japo watatu niandae party ya kuwapongeza...
![]()
RufijiHuyo alikuwa wa wapi?
Ni wengi 'ninaowakubali' lakini hawa ndo nawakubali zaidi kwa muda mrefu niliokaa jf...
Hiyo kesi hakimu atakuwa nani?Hizo baraka za Nyani Ngabu naomba nimuibie mie
Hapana sio mmRufiji
Maini firigisi na utumboNini lakini we mwanamke...?
Nani kama sio wewe aiseHiyo kesi hakimu atakuwa nani?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Heshima kwenu wakuu.
Kwa muda ambao nmekaa humu jf nmetokea kuwakubali zaidi baadhi ya watu na kutamani hata kuwafahamu nje ya Jf kutokana na michango na mada zao. Sio kwamba wengine siwakubali hapana. Ila hawa wafuatao nawakubali zaidi.
1. mshana jr : Huyu jamaa mwanzo nilkuwa namuogopa kwa kudhania labda ni mchawi ila sikukosa kufuatilia mada na michango yake. Kadiri siku zilivyosogea ndivyo nilivyoanza kumuelewa vizuri sana. Akiweka mada anaifuatilia mpaka mwisho na anajibu maswali ya wachangiaji bila kinyongo wala hasira.
Binafsi namshukuru sana maana nmewahi kuwasiliana nae nje ya jf na akanipa ushauri ambao ulinisaidia sana.Natamani siku moja nikutane nae ana kwa ana. Popote ulipo mshana jr pokea shukrani zangu.
2. The bold: Kati ya watu waliobarikiwa vipaji basi The Bold ni mmojawapo. Ana kipaji cha uandishi wa story na makala mbali mbali za kuvutia sana. Ni mtu ambae simuelewi elewi sana maana akianza masuala ya intelijensia ataandika utadhani alikuwepo wakati tukio linatokea. Huyu jamaa sjuhi ni mtafiti au vipi.
Natamani awe rafiki yangu hata tuwe tunawasiliana tu Namkubali sana hasa akianza masuala ya usalama ambayo huwa nayapenda toka utotoni. Kwahyo story zake huwa znanivutia sana.
3. Sky Eclat: Huyu nadhani ni mwanamama na fikra zangu ni mtu muelewa sana. Huyu nae huwa navutiwa sana na michango yake sana humu jukwaani. Naye natamani awe rafiki yangu.
Ni wengi 'ninaowakubali' lakini hawa ndo nawakubali zaidi kwa muda mrefu niliokaa jf. Huo ni mtazamo wangu kwa watu hao.
Km na ww una members unawakubali na kwanini unawakubali funguka hapa.
Nakupenda zaidi muke halali ya Smart911Naikubali sana hii kapo tuliiiiiiiivvuuu kabisa ya Le great king Smart911 na his queen [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Lebig dadaa Money Penny mama la mama... na kiben ten chake 50thebe tehtehteh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
DJ Sepetu mwenyewe the hooooossttt na joanah pembeni
Mwifwa the don rafiki mpenzi apendwaye na cha mdeko wa jf..
Bila kusahau Mama Sabrina muke ya Gggggggggg....
Na wengine woooote wanaonikubali
Nawapenda sana [emoji120] [emoji120] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]