UmejuajeYaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
WanaJF Bwana!
Hapo sasaWengine utasikia Nina gari...nina simu kali...namiliki biashara kubwa... Kumbe hamna kitu
Huwa nawaangaliaga tu naishia kuchekaHapo sasa
Naunga mkono hojanilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
yaani usimuamini mtu huku kamweNaunga mkono hoja
Namfahamu sana. Huwa hanaga shobo... ila kama ni mademu JF kawabandua wa kutosha.nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
sijui maana mimi hakunibandua . yule mzee hana tabia za kipuuzi navomjua lakiniNamfahamu sana. Huwa hanaga shobo... ila kama ni mademu JF kawabandua wa kutosha.
Ni mimi tu JF mwenye diploma ya VETA nisiyejua kiingereza kuliko woteWengine utasikia Nina gari...nina simu kali...namiliki biashara kubwa... Kumbe hamna kitu
Wewe.. . Kwenye kasri lake la Tabata ni kama machinjio ya Vingunguti. Videmu huwa vinalalamika jamaa ana mashine kama ya punda lakini bado vinapanga foleni kubanduliwa. Pesa ni sabuni ya rohosijui maana mimi hakunibandua . yule mzee hana tabia za kipuuzi navomjua lakini
Nlitaka nikupe lifti kwenye bajaji yangu ukanikatalia. Nikajua labda unamiliki PradoYaani humu bhanaa kama huna moyoo utajuta... Huwa najuaga mie mwenyewe ndo nagombania matatu!!! Maana humu kila mtu anagari hao wa Chiini saaana wapo wenye Meli humuu!!!!
Hahaha hongera kiongoziNi mimi tu JF mwenye diploma ya VETA nisiyejua kiingereza kuliko wote
wengine hata baiskeli hatunaYaani humu bhanaa kama huna moyoo utajuta... Huwa najuaga mie mwenyewe ndo nagombania matatu!!! Maana humu kila mtu anagari hao wa Chiini saaana wapo wenye Meli humuu!!!!