Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.
WanaJF Bwana!
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.
WanaJF Bwana!