Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,694
- 650
You sure?yes shem
sometimes seriousness kills people
Sijapata bado natafuta, ila nampenda sana Tantaw lakini yeye hajui kama namzimia,hahahahahaahh
WoooooooooozaaaaaaaaHahahhahahahaha NAHUJA sema hakyamungu!! Hahahahaa!!
Hahahahahahahaha funguka mama shauri yako, utamkosa mwana na maji ya moto!!!!! Hahahahahaha!!!!
hahaahahhah, kumbe upo. habari za Ijumaa. hahahaahah. si unakumbuka Shunie ndie aliyenishawishi kukufolo kuleeeeeeeeeeeeeeeee
Nipo majukumuu tu ndio yanabana, Ijumaa ipo salama, sijui kwa upande wako!? Hahahahahahaha Shunie kumbe anaushawishi kama wa mange kimambi!! Kuleee sijaingia siku za karibuni, ngoja nikapachungulie kwanza, hahahahahahaha!!
Kuigiza pia ni ndoto zake za maisha mkuu. (when i grow up i will be........?Humu JF kuna watu wanajua kuigiza maisha balaa
Kikohozi jaman namuona ndugu yangu limoyo limemdondokea kwa Tantaw mficha maradhi kifo humuumbua chikira umenifurahisha sana kazi kwake sasa Tantaw
Kikohozi jaman namuona ndugu yangu limoyo limemdondokea kwa Tantaw mficha maradhi kifo humuumbua chikira umenifurahisha sana kazi kwake sasa Tantaw
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Hahahahahahahahahahaha!!!!
Wengine wanazidi sasa sijui wanaona ufahari?Kuigiza pia ni ndoto zake za maisha mkuu. (when i grow up i will be........?
Sawa nasubiri shemelavery sure, tutafutane baadae nikueleze zaidi
teh teh
Ahsanteee[emoji6]six packs
Sawa DadaAhsanteee[emoji6]
Naomba ID yake nataka kumsalimiaNdo nakwambia sasa ana kasri lake Tabata kwa ajili ya kuchinjia mademu. Huko kwingine hafanyi ufuska...
Hahahahahahahaa aiseeeSamahani kwa kutoka nje ya mada
Hiv iPhone 8 ishafika bongo , hii s8 plus nimeichoka.
Asprin....Naomba ID yake nataka kumsalimia