Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,066
....Kwanini Wasomi hewa lakini?[emoji19] [emoji19]Chukua mawazo yanayo weza kukujenga unayo ona hayakuhusu mwachie mwenyewe
Humu kila mtu anajua kinacho mfanya awepo humu
Humu tupo aina nyingi wapo wasomi, wasomi hewa, wajuaji na wasio jua kabisa
Mkuu sikukuita kwangu unichunguzenilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Kweli kabisa mkuu.yeah cha msingi uyachukulie tu kama sehemu ya burudani mkuu
Kumbe upo masomi hewa....Kwanini Wasomi hewa lakini?[emoji19] [emoji19]
Wengi wao wameajiriwa mkuu. Wengine wako kazini hapa! Shauri yako!Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.
alaa kumbe!Wengi wao wameajiriwa mkuu. Wengine wako kazini hapa! Shauri yako!
Ndio mkuuHaha haha, bora tuyejipigia jembe na ardhi huku maeneo ya interior angle.
hhahahahahahHaha wazee wa mshauzi nawaangaliaga tu maandishi yao halafu napita kushoto,form1 hapa nawakilisha njuka wenzangu duniani kote.
form1
aisee!Hii yote inatokana na kuchelewa kwetu kumiliki vitu hivi
Nguo
Nyumba
Usafiri aina zote
Elimu
Afrika tumeanza kuvaa na kufaidi luxury life 1970s
Huwezi linganisha na mbele ambako walianza toka karne ya 16 hasa 1750
Wazungu wametuweka kwenye kundi LA ulimwengu wa tatu
Ulimwengu wa misaada
Viongozi wenyewe ndo malimbukeni kupita wananchi wao wakipata madaraka wanakuwa more extravagant
More foolish arogant
MTU mweusi kujichukua mboga mia na ushua ushua mwingi hizo ndo impacts zenyewe
Mfano baadhi ya makabila yaliwahi kuiona elimu mapema enzi za mkoloni
Sasa Leo wanaitwa ishomile family
Lakini hiyo elimu ingekuwa sawa maeneo yote hata ishomile family wangetoka kurya people wegi tu
Waha na wasukuma wali provide cheap labour sasa Leo wanaitwa wachapa kazi
Anyway muda utaamua tutasettle tu
Ila tupigane kwanza akili zitukae sawa
aiseee!Wengine kila thread wanapost kwa laptop,
yaani hawanaga simu za efu 50 hao haha.
wakati robotatu yetu tupo vijiweniπ±π±π±π±Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.
WanaJF Bwana!
hahahaahahahahahahahahahaahahawakati robotatu yetu tupo vijiweniπ±π±π±π±
hahaha nakwambia wengine wanaokota machupa ya plastickhahahaahahahahahahahahahaahaha
Aisee! nilijua ni mie tu peke yangu mwenye kipato kidogo humu JF hahahahahahaahahaha nakwambia wengine wanaokota machupa ya plastick
aaah wapi karibu wote ni makapuku atii kwavile hatuonaniAisee! nilijua ni mie tu peke yangu mwenye kipato kidogo humu JF hahahahahahaa
ππππππaaah wapi karibu wote ni makapunu atii kwavile hatuonani