Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ni kweli ila sio woteyaani usimuamini mtu huku kamwe
Kama vipi nikuazime kacertificate kangu ukafungue kiwanda kidogo.Hahaha hongera kiongozi
huyo sio wa tabata mkuu. huyu nyumba zake zipo masaki,mikocheni kawe na bahari beachWewe.. . Kwenye kasri lake la Tabata ni kama machinjio ya Vingunguti. Videmu huwa vinalalamika jamaa ana mashine kama ya punda lakini bado vinapanga foleni kubanduliwa. Pesa ni sabuni ya roho
kumbe member mwenzangu upo?Hahaha! tupo LA saba b mbona.
HahahaNlitaka nikupe lifti kwenye bajaji yangu ukanikatalia. Nikajua labda unamiliki Prado
Ndo nakwambia sasa ana kasri lake Tabata kwa ajili ya kuchinjia mademu. Huko kwingine hafanyi ufuska...huyo sio wa tabata mkuu. huyu nyumba zake zipo masaki,mikocheni kawe na bahari beach
Nipo ..nasubil kuwaona wengine kama Mimi.kumbe member mwenzangu upo?
ahahaaa sidhani .yule mzee anajiheshimu sana .Ndo nakwambia sasa ana kasri lake Tabata kwa ajili ya kuchinjia mademu. Huko kwingine hafanyi ufuska...
Hebu nnong'oneze na mie babuu jamaniiNamfahamu sana. Huwa hanaga shobo... ila kama ni mademu JF kawabandua wa kutosha.
Ulinishushua bhana. Mi mwenyewe bajaji yangu ndo tajiri kuliko wote kwenye ukoo wetu. Afu unaniletea mashauzi bhana... dahHahaha
Babu we sio mtu mzuriii akiii!!!
Weeee..humu kuna mambo kumbe.Ndo nakwambia sasa ana kasri lake Tabata kwa ajili ya kuchinjia mademu. Huko kwingine hafanyi ufuska...
Babu Nafikiri hunijui vizuri!!!! Nijishaue mbele ya lifti kweeeli mie???? Labda ulinifananisha babu wanguUlinishushua bhana. Mi mwenyewe bajaji yangu ndo tajiri kuliko wote kwenye ukoo wetu. Afu unaniletea mashauzi bhana... dah
Na wewe pia huna???? Acha utani bhanaa.... Mie niko peke angu humuwengine hata baiskeli hatuna
Mimi pia aisee..sisemi uongoNa wewe pia huna???? Acha utani bhanaa.... Mie niko peke angu humu
Hahah poaNipo ..nasubil kuwaona wengine kama Mimi.
Basi tuko wawili JoseMimi pia aisee..sisemi uongo
Mko wangapi je unataka kusema wote wana jf ni wakujigamba?Basi tuko wawili Jose
Mimi form four siongei.Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
WanaJF Bwana!
Namfahamu sana. Huwa hanaga shobo... ila kama ni mademu JF kawabandua wa kutosha.