Sana aiseee. [emoji23] [emoji23]Hahahahaaa... LOOOH... hivi kumbe nina vituko?
Duh alikutembeza kote huko.nabado unasema papuchi hukumpa ..huyo sio wa tabata mkuu. huyu nyumba zake zipo masaki,mikocheni kawe na bahari beach
Mhhh camera hadi choon, hapa miss umetuokota kiusalama hairuhusiwi choon huko ni kuingilia privacy za watunilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia

Usijali kabisaa babu akee, ukipita tuu muheza nishtueeNatamani sana nikujue...
Afu hii nimechapia, ilikuwa niandike kwenye thread nyingine...
Humu JF kuna watu mnajuana eeeh?
Wengine utasikia Nina gari...nina simu kali...namiliki biashara kubwa... Kumbe hamna kitu
Vituko vyangu vikoje?? Mbona mi mtulivu tu?Sana aiseee. [emoji23] [emoji23]
Muheza si ndo iko Tanga enh?? Kule mbako ukienda leo unarudi kesho?Usijali kabisaa babu akee, ukipita tuu muheza nishtuee
Muheza si ndo iko Tanga enh?? Kule mbako ukienda leo unarudi kesho?Usijali kabisaa babu akee, ukipita tuu muheza nishtuee
Nipo hapa mkuu[emoji23][emoji23][emoji1533]
EwaaaMuheza si ndo iko Tanga enh?? Kule mbako ukienda leo unarudi kesho?
Huko huko ila December nina mwaliko kwa miss Chagga.... Marangu mojaMuheza si ndo iko Tanga enh?? Kule mbako ukienda leo unarudi kesho?
Naona umeamua kunianika!?nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Hapo patakuwa hapatoshi... Si unajua December lazima tuendee tukahesabiwe??Huko huko ila December nina mwaliko kwa miss Chagga.... Marangu moja
HahahahKasoro mimi tu Mkuu sinaga izo show off
OoohHapo patakuwa hapatoshi... Si unajua December lazima tuendee tukahesabiwe??
Kabisa mama, Mimi katika kufanya biashara nimekutana na watu Wa JF wengi sana, wengi watu wazito ila humu wanachat upuuzinilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia