Members wa JF bwana!!!!

Members wa JF bwana!!!!

nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Mhhh camera hadi choon, hapa miss umetuokota kiusalama hairuhusiwi choon huko ni kuingilia privacy za watu
 
Sana aiseee. [emoji23] [emoji23]
Vituko vyangu vikoje?? Mbona mi mtulivu tu?
upload_2017-9-21_16-27-47.jpeg
 
nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Naona umeamua kunianika!?
 
Kabisa mama, Mimi katika kufanya biashara nimekutana na watu Wa JF wengi sana, wengi watu wazito ila humu wanachat upuuzi

Nadhan wanakosa pakusemea JF ndo mahala pao
 
Back
Top Bottom