- Thread starter
- #221
sijambo, hahahahahha.Habari yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijambo, hahahahahha.Habari yako
hahahaahahaahhahhaha, jamani unanipa raha[emoji188] napita tu maan nahis mm ndo mdogo kuliko wote humu, namilik simu tu ya kuingilia JF kwa pesa ya mkopo
Mbona unafuraha hivyo bibie.sijambo, hahahahahha.
Mlitumia condomnilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Hizi bahati mbona jf sizipati.Sijapata bado natafuta, ila nampenda sana Tantaw lakini yeye hajui kama namzimia,hahahahahaahh
Maisha yamekaza ina bidi tu kujilazimisha kufurahi, vinginevyo mmmh! itakuwa shida. si wanasema raha jipe mwenyewe! hahahaMbona unafuraha hivyo bibie.
He! kwani Miss Natafuta ali DO huyo mwanajf? hahahahah. Alitembezwa tu kwenye nyumba za huyo mtu bwana!Mlitumia condom
😛 😛 😛 😛Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.
WanaJF Bwana!
kabisa mkuuMaisha yamekaza ina bidi tu kujilazimisha kufurahi, vinginevyo mmmh! itakuwa shida. si wanasema raha jipe mwenyewe! hahaha
Siku akijaribu kupita huku nahisi moyo wako utatuliaYawezekana zipo ila hawajafunguka! Hata mie sijamfungukia Tantaw naona "aibu" tehe tehe tehe
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Siku akijaribu kupita huku nahisi moyo wako utatulia
Ni kweli aisee!SASA KAMA MAJINA NI FEKI UNATEGEMEA MAISHA YA JF YATAKUWA OG?
Kama imeharibika bahati mbaya wee msamehe tu! unaweza kumlipisha halafu na wewe siku ukaharibu kitu chake tena cha bei kubwa akakulipisha! nakushauri umsamehe. Amani na upendo ni vitu ambavyo ni vya muhimu sana kwa majirani zetu, jirani ni ndugu yako!Wakuu naomba mnipe mawazo kuna jirani nilimuazima baiskeli yangu sasa kairudisha imelegea mskani... Sasa nimlipishe?