Members wa JF bwana!!!!

Members wa JF bwana!!!!

nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Mlitumia condom
 
Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.

WanaJF Bwana!
😛 😛 😛 😛
 
Wakuu naomba mnipe mawazo kuna jirani nilimuazima baiskeli yangu sasa kairudisha imelegea mskani... Sasa nimlipishe?
 
Wakuu naomba mnipe mawazo kuna jirani nilimuazima baiskeli yangu sasa kairudisha imelegea mskani... Sasa nimlipishe?
Kama imeharibika bahati mbaya wee msamehe tu! unaweza kumlipisha halafu na wewe siku ukaharibu kitu chake tena cha bei kubwa akakulipisha! nakushauri umsamehe. Amani na upendo ni vitu ambavyo ni vya muhimu sana kwa majirani zetu, jirani ni ndugu yako!
 
Back
Top Bottom